Kwanza nieleze furaha yangu, nina furaha kubwa kupata nafasi ya kublog, na ni matarajio yangu nitakuwa nimeingia rasmi kwenge shughuli za kublog, nilitamani siku nyingi sana kufanya hivi ila muda haukuniruhusu kutokana na kuzidiwa na shughuli za hapa na pale katika kukamilisha maana halisi ya maisha,namshukuru Mungu sasa nimeamua.
Karibu katika blogu ya Coysal dresslink ili tubadilishane uzoefu kuhusu fashion na maisha ya kila siku kwa ujumla , binafsi ni mdau wa vitu vyote vya maendeleo nategemea kujifunza zaidi kupitia wewe msomaji wangu na ni matarajio yangu kwamba hutakosa jipya la kujifunza toka kwangu.
Karibuni sana