Mrisho Ngassa aongeza mke wa pili

Mrisho Ngassa akiwa na mkewe na Kipa mashuhuri Juma Kasseja

Baada ya mfarakano na mkewe hadi kupelekana mahakamani,mchezaji Maarufu wa soka nchini Mrisho Khalfan Ngassa amefunga ndoa jana Novemba 16 na Bi Radhia.
Tunamtakia kila la heri katika ndoa yake

No comments :

Post a Comment