Kwenye fashion kila siku kuna ubunifu mpya, denim sasa imekuja katika mtindo wa two rips yaani unachana mara mbili tuu.
Ukitaka kukimbizana na fashion cheki hapa wadau wa mitindo walivyotupia ,
Karibu katika kijiwe hiki cha MarhabaaZanzibar ili tubadilishane uzoefu kuhusu maisha yetu ya kiafrika, tutakuwa na utunzaji ngozi,mavazi, vyakula ,matukio,upashanaji habari na mtindo wa maisha halisi ya kiafrika hususan Zanzibar Ni matarajio yangu kujifunza zaidi kupitia nyinyi wasomaji wangu,nanyi nina imani hamtakosa cha kujifunza toka kwangu. Karibuni sanaaa
No comments :
Post a Comment